AfyaSystem
Mfumo wa biashara za afya Tanzania

Simamia kliniki, kituo cha afya, pharmacy na matawi mengi kwa urahisi.

AfyaSystem huunganisha huduma za mapokezi, kliniki, malipo, vipimo, pharmacy, stoo na taarifa za uongozi kwenye mfumo mmoja salama.

Biashara moja, mfumo mmoja
  • Kliniki au dispensary
  • Kituo cha afya chenye pharmacy ya ndani
  • Pharmacy inayojitegemea
  • Matawi mengi ya aina tofauti
Inakufaa

Chagua muundo wa biashara yako

Clinic / Dispensary / Kituo cha Afya

Simamia wagonjwa, ziara, malipo, daktari, vipimo na pharmacy ya ndani.

Pharmacy Pekee

POS, malipo, risiti, bidhaa, manunuzi, batch na stock bila moduli za kliniki.

Multi-Branch Business

Fuatilia matawi kadhaa ya kliniki, pharmacy au mchanganyiko wake.

Vipengele vya V1

Kazi muhimu za kila siku, mahali pamoja

Wagonjwa na mapokezi
Miadi na ziara
Billing na cashier
Triage na consultation
Laboratory na ultrasound
Prescriptions
Pharmacy POS
Stock na manunuzi
Reports
Matawi, watumiaji na ruhusa
Mtiririko rahisi

Kutoka huduma hadi risiti

Kituo cha afya

Usajili → Billing → Daktari → Vipimo → Pharmacy → Risiti

Pharmacy

Bidhaa → POS → Malipo → Risiti → Stock update

Vifurushi

Chagua kifurushi kinachokua na biashara yako

AfyaSystem Starter

Kwa biashara ndogo inayoanza kutumia mfumo.

TZS 100,000/mwezi
TZS 1,000,000 kwa mwaka
  • Watumiaji na ruhusa
  • Billing na risiti
  • Reports za msingi
  • Hadi matawi 1
  • Hadi watumiaji 5
Omba majaribio

AfyaSystem Premium

Kwa biashara yenye timu kubwa au matawi kadhaa.

TZS 350,000/mwezi
TZS 3,500,000 kwa mwaka
  • Matawi mengi
  • Vipengele vyote vya V1
  • Priority support
  • Hadi matawi 5
  • Hadi watumiaji 30
Omba majaribio

AfyaSystem Enterprise

Mpangilio maalum kwa mtandao mkubwa wa matawi.

Wasiliana nasi
  • Mpangilio maalum
  • Matawi na watumiaji kulingana na makubaliano
  • Enterprise support
  • Hadi matawi bila kikomo maalum
  • Hadi watumiaji bila kikomo maalum
Omba majaribio

Kuhusu Baltha

AfyaSystem is a product of Baltha Enterprises (T) Limited.

Omba majaribio